|
Post by mbongo on Feb 1, 2015 13:59:48 GMT 3
Kuna watu ambao kwa sababu moja au nyingine wanaunga mkono ndugu Edward Lowassa kuwa Raisi wa Tanzania. Mimi niko tofauti nao. Lowassa ni miongoni mwa mafisadi wakubwa ambao wamejilimbikiza chungu ya mali. Lowassa ni ni miongoni mwa matajiri wakubwa hapa nchi. Hebu jiulize kama muda mwingi anautumia kufanya kazi za serikali (kwa maana ni waziri wa muda mrefu). anapata wapi muda wa kujilimbikizia mali nyingi kiasi hicho. hata baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere aliwahi kumzuia bwana lowassa asigombee uraisi kwa sababu ni fisadi. Tunahitaji watu wa kuivusha tanzania katiika kipindi hiki ambacho nchi yetu inahesabika miongoni wa nchi maskini za kutupwa na mtu huyo sio lowassa
|
|
|
Post by vijay on Feb 11, 2015 22:40:40 GMT 3
umesema kweli kaka
|
|